Kuhusiana na Zile Nyasi Bandia za Simba Kutakiwa Kupigwa Mnada..Hiki Ndicho Kilichofanyika Leo..!!! - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Apr 2017

Kuhusiana na Zile Nyasi Bandia za Simba Kutakiwa Kupigwa Mnada..Hiki Ndicho Kilichofanyika Leo..!!!


Klabu ya Simba SC imesha malizana na mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) baada ya kulipa zaidi ya Sh milioni 80, kodi ya nyasi bandia zilizo kuwa bandarini.

Baada ya hapo, kinachofanyika ni kumalizia masuala kadhaa yakiwepo ya kuzitoa nyasi hizo bandarini.

Uongozi wa klabu ya Simba umetoa taarifa hiyo kupitia mtandao wao wa wakijamii wa instagram

simbasctanzania Taarifa Rasmi kuhusiana na Nyasi Bandia, Mpaka sasa Tumeshalipia Kodi yote ya Nyasi Bandia, Kinachoendelea sasa ivi ni Wakala wetu kumalizia taratibu za Kutoa Container zenye nyasi hizo bandarini kwenda kuwekwa rasmi katika uwanja wetu wa Bunju.