Nay wa Mitego Naye Afunguka Haya Mazito Sakata la Kupotea kwa Roma Mkatoliki..!!!! - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Apr 2017

Nay wa Mitego Naye Afunguka Haya Mazito Sakata la Kupotea kwa Roma Mkatoliki..!!!!


Siku nzima ya leo nimekosa raha kabisa, cjui Mshkaji wangu Yupo kwenye hali gani, mazingira gani.? Roma yuko wapi.?! Sim yake ukipiga inaita Kama kawaidi, Masege Whatsup zinasomwa, Sim hazipokelewi. Vyombo husika tunaomba mtusaidie, tunaitaji kujua ndugu zetu wako wapi.? Hatuwezi kukaa kimya. 

Hivi kweli tumefikia huku.? Tunaenda wapi.? #FreeRoma✊🏿
#Wapo