TIMU ya Bwana Samatta Genk Yachapwa Europe Leagueà - MULO ENTERTAINER

Latest

14 Apr 2017

TIMU ya Bwana Samatta Genk Yachapwa Europe Leagueà



Timu ya Bwana Samatta inayocheza Europa League Jana imechezea Kichapo kutoka Timu ya Celta wakiwa ugenini....Matumaini bado yapo kama anavyoandika mtaalamu wa MICHEZO Shaffih Dauda hapa Chini:
.
.

Kutoka kwa @shaffih - Genk wanarudi Belgium wakiwa wanahitaji goli 1 bila kuruhusu Celta kufunga na watafuzu kucheza nusu fainali ya Europa League. #HainaKufeli