VIDEO: Alichokisema Mbunge Kangi Lugola kuhusu tuhuma za Mbowe kulitukana Bunge - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Apr 2017

VIDEO: Alichokisema Mbunge Kangi Lugola kuhusu tuhuma za Mbowe kulitukana Bunge


Mkutano wa saba wa Bunge  umeendelea tena Dodoma leo April 6, 2017 ambapo kati ya Wabunge waliosikika ni pamoja na Mbunge wa Mwibara Kangi Lugola ambaye aliomba mwongozo kwa Spika wa Bunge Job Ndugai kuhusu tuhuma za kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani Bungeni Freeman Mbowe anayedaiwa kutoa lugha zinazolidhalilisha bunge.
Full video nimekuwekea hapa chini tayari…