Leo April 5 2017 kwa wale wanaozipenda zile stori zote za
Entertaiment hii nisingependa ikupite, Harmorapa amekuwa akitumia
ukurasa wake wa Instagram kwa kuonyesha hisia zake za kimapenzi kwa
mrembo kutoka kiwanda cha Filamu Tanzania Wema Sepetu, Je Amber Lulu
amabaye ni mpenzi wa Harmorapa anajisikiaje.
‘Unajua Mpenzi wangu Amber Lulu ni mzungu yeye huwa hana
noma pale ninapokuwa naonyesha hisia zangu kwa Mrembo Wema Sepetu kwa
kuwa yeye huwa anajua kila kitu‘-Harmorapa