Baada ya Wazee wa vita kuanza kufanya maandalizi ya Kuichapa Korea
Kaskazini na baada ya wazee hao wa vita kufanya majalibio ya MOAB,
Dalili zinaonyesha wazi kabisa nchi kumi zenye mabomu ys nuclea zimeanza
kujiandaa kuingia vitani,
Hii vita ya tatu ya Dunia ya safari hii itakua ni balaa. Sasa na huu ugumu wa maisha tulionao nahisi tujiandae kula nyasi.
Hii vita ya tatu ya Dunia ya safari hii itakua ni balaa. Sasa na huu ugumu wa maisha tulionao nahisi tujiandae kula nyasi.