BREAK NEWS: Wawili wamefariki na wengine nane kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi. - MULO ENTERTAINER

Latest

6 Jul 2017

BREAK NEWS: Wawili wamefariki na wengine nane kujeruhiwa kwenye ajali ya Basi.

Taarifa nyingine iliyonifikia mchana huu wa July 6, 2017 ni pamoja na hii ya Watu wawili kufariki dunia na wengine wanane kujeruhiwa kwenye ajali ya basi la Kampuni ya Upendo lililopinduka katika Wilaya ya Mbarali.