Balile, Meena, Makunga(TEF) Mmetia Aibu Mno, Muwaombe Radhi Waandishi Habari Wenzenu - MULO ENTERTAINER

Latest

10 Aug 2017

Balile, Meena, Makunga(TEF) Mmetia Aibu Mno, Muwaombe Radhi Waandishi Habari Wenzenu


Jamani,hivi ni pesa ilitoka ikawachanganya au? Mnajua mlivyomkazia mtoto wa Albert Bashite mkampiga mkwara na RC wa Arusha kuhusu kunyanyasa waandishi wa habari heshima yenu ilipanda mno?
Nini kimewakuta TEF,leo bwana Gambo akianza tena kuwapa lift waandishi na kuwalaza central ya Arusha hata mkitoa matamko mtaonekana kama wehu tu tena wenye njaa,yaani ma mayalla,kule kwetu mayala ni njaaaaaaaaa.

Hizo 2 weeeks mlikuwa mnafanya negotiation ya jamaa kuja kukataa kuomba msamaha na kuongea kwa dharau hivyo?Atleast Ruge alisimamia kucha na yeye kuongea kibabe sababu ukimsikiliza ni kama mtu aliyeamu kutii agizo la Rais tu na sio vinginevyo,hata nyie kawashangaaa.

Balile si ulisema mliendaga office ya RC akatokea mlango wa nyuma?mbona jana kakataa mbele yako ukabaki umetoa macho tu,kumbe mlituchonganisha naye?

Hata hilo gazeti la uchunguzi la jamhuri inabidi tuliangalie kwa macho sita sita.

Atleast hata angeomba radhi au kama ni style ya kuzunguka iwe humble sio kwa dharau ile....Kha?halafu kumbe nyinyi ndiyo mlimfuata?

Mtuombe na wananchi radhi kwa kuamini chuki zenu dhidi ya RC all this time.