Baba Mzazi wa Diamond Afunguka Kuhusu Zari, Wema na Mobetto - MULO ENTERTAINER

Latest

22 Dec 2017

Baba Mzazi wa Diamond Afunguka Kuhusu Zari, Wema na Mobetto

Baba Mzazi wa Diamond Afunguka Kuhusu Zari, Wema na Mobetto
Baba mzazi wa staa kutokea Bongoflevani Naseeb Abdul a.k.a Diamond Platnumz, Mzee Abdul amezungumza kuhusu kuwahi kukutana na Zari ambaye ni mkwe wake aliyezaa na mtoto wake Diamond ambapo amesema hajawahi kuzungumza na ZARI toka amemsikia,  ila Wema Sepetu na Hamisa Mobetto ameshawahi kuongea nao.

Baba wa Diamond amesema kwamba aliwai kuzungumza na Wema Sepetu kwani alishawai kwenda kumtembelea kipindi alipokuwa na Diamond lakini pia amezungumza na Hamissa kipindi alipoenda  kuhudhuria kwenye 40 ya mjukuu wake kwa Hamissa.