Godbless Lema: Afrika Kuna Matendo ya Kibaguzi ya sisi Kwa sisi Kuliko Matamshi ya Donald - MULO ENTERTAINER

Latest

16 Jan 2018

Godbless Lema: Afrika Kuna Matendo ya Kibaguzi ya sisi Kwa sisi Kuliko Matamshi ya Donald

Godbless E.J. Lema

"Africa inapiga kelele dhidi ya matamshi ya ubaguzi ya Donald Trump. Africa kuna matendo ya kibaguzi kuliko matamshi ya Donald Trump na ni sisi kwa sisi,unapotumia nguvu ya dola kuuwa demokrasia na haki,unapotumia nguvu kutesa na kuua wanao kukosoa, huu sio ubaguzi ? Tutafakari" Godbless Lema