Moto umezuka katika jengo la Benki Kuu jijini Mwanza leo Alhamisi, Januari 11, 2018 asubuhi. Chanzo cha moto huo imefahamika kuwa ni shoti ya umeme iliyotoke katika kiyoyozi ndani ya jengo hilo taarifa zaid itakujia hivi punde. Read more