New
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt John Pombe Magufuli ameteua Meja Yakubu Hassan Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) na kuwapandisha vyeo kutoka Brigedia Jenerali na kuwa Meja Jenerali.