Rais Magufuli Ampangia Ubalozi wa Sweden Dk. Slaa Kumwapisha Leo Ikulu. - MULO ENTERTAINER

Latest

16 Feb 2018

Rais Magufuli Ampangia Ubalozi wa Sweden Dk. Slaa Kumwapisha Leo Ikulu.

Rais Magufuli Ampangia Kuwa Balozi wa Sweden Dk. Slaa Kumwapisha Leo Ikulu


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Februari 16, 2018 saa 3 asubuhi atawaapisha Dkt. Wilbrod Peter Slaa ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden na Muhidin Ally Mboweto kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria.