Leo May 28, 2018 Stori iliyotufikia muda huu kutoka kwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Polepole imesema kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais John Magufuli, ameridhia uamuzi wa kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Abdulrahman Kinana.
28 May 2018
New
Breaking News: Rais Magufuli Aridhia Uamuzi wa Kujiudhulu Katibu Mkuu Wake wa CCM Abdulrahman Kinana...... Msanii Keisha Achaguliwa na NEC
mulo
MAGUFULI