Gigy Money na Moj Malizeni Ugomvi Wenu Chumbani, Hatukuwepo Wakati Mnapeana Mistari - MULO ENTERTAINER

Latest

22 May 2018

Gigy Money na Moj Malizeni Ugomvi Wenu Chumbani, Hatukuwepo Wakati Mnapeana Mistari

Hakuna kesi ngumu Dunani Kama ya kusuluhisha wapendanao


  • Mke anaongea yake (Gigy Money)
  • Mume anaongea yake (Moj)


Mwisho wa siku kitanda ndio kinaamua Kama wanapendana au la

Ushauri: Wadogo zangu Giggy Money na Mo Junior, hizi Kiki zimepitwa na wakati, naombeni yaishe mlee mtoto

Wakati mnatongozana hatukuwepo sasa mmeshazalishana na kupigana mechi mnatuletea vurugu kwanini msizimalize kimya kimya?!

 Wale wanaosema Hawa wawili wanapendana wanyooshe vidole juu

Wale wanaosema Hawa watu waachane wanyooshe kidole cha mwisho juu

Wale wanaosema haya mahusiano hayataendelea kamwe bora Mo junior ajikatae mbele wanyooshe kidole cha Kati juu

Mtazame Gigy Akifunguka Makubwa Kuhusu Moj:


Mtazame Moj Akiongea: