Hii Ndio Adhabu na Faini Utakayo Pewa Utakapokutwa Umevaa Sare za Jeshi Bila Ruhusu..Faini Itakuacha Mdomo Wazi - MULO ENTERTAINER

Latest

22 May 2018

Hii Ndio Adhabu na Faini Utakayo Pewa Utakapokutwa Umevaa Sare za Jeshi Bila Ruhusu..Faini Itakuacha Mdomo Wazi


#IjueSheria: Mtu yeyote ambaye hatumikii Jeshi la Ulinzi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wala Jeshi lolote la Polisi lililowekwa kwa Sheria akivaa bila ruhusa ya Rais vazi rasmi la Jeshi lolote au vazi linalofanana na vazi rasmi au kuwa na alama yoyote ya Kiaskari atakuwa ametenda kosa

Mtu aliyetenda kosa hilo atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha mwezi mmoja jela au faini ya Tsh. Mia mbili

Aidha, hakuna kifungu kinachomzuia mtu yeyote kuvaa vazi rasmi katika michezo ya tamasha inayochezwa hadharani mahali popote iwapo ataliwakilisha Jeshi kwa nia njema