Mchekeshaji Idris Sultan amezua hii jingine kupitia ukuarasa wake wa instagram baada ya kum-post Shilole “Shishi baby” na kuandika caption ambayo imezua gumzo kwa mashabiki kutokana na comments zilizoandikwa kupitia picha hiyo.
Idris Sultan aliandika “Ana nyumba, ana bishara zaidi ya tatu, ana watoto, ameolewa na ni maarufu na bado ana baby face. Mi nina kiingereza tu. Tuendelee kuendekeza ujinga tutajua nani anamcheka mwenzake 😂🙌🏽”