Video: Matokeo Ya Vipimo Vya Ukimwi Vya Rayvanny - MULO ENTERTAINER

Latest

3 Jul 2018

Video: Matokeo Ya Vipimo Vya Ukimwi Vya Rayvanny

Baada ya Rayvanny msanii kutoka wasafi classic inayomilikiwa na Diamond Platinumz a.k.a Simba kupima HIV maambukizi ya virusi vya ukimwi na kuweka hadharani matokeo huku akiwasii wasanii wenzake wa Wasafi sanasana akionyesha msisitizo kwa Harmonize na Richmavoko. Rayvanny aachia video online instagram kuonyesha wafuasi wake kuwa mambo ni safi kabisa.

VIDEO: