Breaking News: Kivuko cha MV Nyerere Kimezama Kikiwa na Abiria Wengi Ziwa Victoria - MULO ENTERTAINER

Latest

20 Sept 2018

Breaking News: Kivuko cha MV Nyerere Kimezama Kikiwa na Abiria Wengi Ziwa Victoria


Image result for MV NYERERE

Taarifa iliyotufikia muda huu kutoka mkoani Mwanza ni kuwa Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukala katika ziwa Victoria kimezama huku taarifa zikidai kilikuwa na watu 500 waliokuwemo ndani ya kivuko.