Hamissa Mobetto Kaachia Video ya Madam Hero Ambayo Ndani yake Kaigiza Akifukuzwa na Ndugu wa Mwanaume - MULO ENTERTAINER

Latest

19 Sept 2018

Hamissa Mobetto Kaachia Video ya Madam Hero Ambayo Ndani yake Kaigiza Akifukuzwa na Ndugu wa Mwanaume

Hamissa Mobetto Kaachia Video ya Madam Hero Ambayo Ndani yake Kaigiza Akifukuzwa na Ndugu wa Mwanaume
Mwanamitindo na muimbaji, Hamisa Mobetto ameachia video ya wimbo wake  ‘Madam Hero’ huku ndani ikiwa na matukio yasiokuwa yakawaida.

Mrembo ambaye amezaa mtoto mmoja na Diamond, kupitia video ya wimbo huo ameigiza anafukuzwa na ndugu wa mume akiwa na mtoto mdogo, tukio ambalo limeanza kuwa gumzo mitandaoni kutokana na mrembo huyo kutokuwa na mahusiano mema na mzazi mwenzake, Diamond.