Mwanadada Gigy money amefunguka na kusema kuwa endapo itatokea kuwa akapata chance ya kumgonga moja ya ma-ex wake aliyowahi kuwa nao katika mapenzi basi msanii atakae kuwa wa kwanza kumgonga atakuwa ni Alikiba.
Gigy Money ambae aliwahi kusema kuwa katika wanaume wote aliwahi kuwa nao kimapenzi alikiba alikuwa akimpenda sana na alikuwa na mapenzi nae ya kweli anasema kuwa uamuzi huo anaweza kuuchukua kwa sababu Alikiba alimuumiza sana.
Gigy ambae siku zote amekuwa muwazi kuwataja wanaume aliowahi kutembea nao anasema kuwa mtu mwingine anaweza kuwa Hemd PHD lalkii mtu wa kwanza atakuwa Alikiba.
nimeshawahi kuwa katika mahusiano namasta wengi akiwemo rich mavoko lakini kama nitapewa gari nichague wa kumgonga basi atakuwa ni Alikiba na Hemed maana hao waliniumiza sana.