Nick Minaj Atoa Kali "Nataka Mwanaume Ambae Ananipiga Bao Tatu Kwa Usiku Mmoja" - MULO ENTERTAINER

Latest

15 Sept 2018

Nick Minaj Atoa Kali "Nataka Mwanaume Ambae Ananipiga Bao Tatu Kwa Usiku Mmoja"


Akihojiwa katika The Ellen Show, Nicki Minaj amesema anapokuwa katika ulimwengu wa wakubwa anapenda kupewa dozi mara tatu Kwa usiku mmoja, na kila dozi inayojitegemea sharti ichukue si chini ya dakika 30 Kwa madai hapendi mwanaume wa kumpotezea muda yeye anapenda shows za kibabe !!
.
Ameongeza kuwa yeye hapendi sijui kuandaliwa hivi na vile hapendi, yeye akisema yes basi Safari ianze. Pia amesema mvurugano ukishaisha hapendi kuguswa popote sana sana ili kuepuka kumtibua ni bora mwanaume uende jikoni kumletea chochote ale !