Rapa Fid Q Aponda Marapa Wakike Bongo Wanao Vaa Nguo za Kiume....Amsifia Rosa Ree...Chemical Aibuka na Kufunguka - MULO ENTERTAINER

Latest

15 Sept 2018

Rapa Fid Q Aponda Marapa Wakike Bongo Wanao Vaa Nguo za Kiume....Amsifia Rosa Ree...Chemical Aibuka na Kufunguka


Rapper Chemical amesema kuna kipindi alikuwa akipata wakati mgumu sana kuhusu mavazi yake, kuna watu walikuwa wakimshauri avae nguo za kike na wengine wakimwambia avae za kiume, ila yeye alifanya maamuzi magumu ya kuwasikiliza mashabiki wake ndio maana kwa sasa anachanganya mavazi yote.

Leo katika kipindi cha XXL Clouds FM Fid Q ameponda Marap wa Kike wanaovaa nguo za kiume ametoa mfano kwa Rapa Rosa Ree ambae anafanya vizuri na anavaa nguo za kike kama mwanamke