VIDEO: Maisha ya Weusi USA yako Hatarini Wanahamia Canada Kumkimbia Trump - MULO ENTERTAINER

Latest

13 Sept 2018

VIDEO: Maisha ya Weusi USA yako Hatarini Wanahamia Canada Kumkimbia Trump

Maisha ya Mtu mweusi ndani ya USA yanaonekana kutokuwa na uhakika baada ya uongozi wa Trump kukaza mno,

Wengi wamejua kwamba mwafrika anayeenda canada anapewa huduma bule na kulipwa kila mwezi bila kazi yeyote aliyofanya,

Waafrika wameona ndo fursa safi na kuanza kuputia mpaka wa Rhoxham kuingia Canada,

TAZAMA VIDEO