Rais wa Nigeria Buhari Ampongeza Mmiliki wa Jamii Forums Maxence Melo - MULO ENTERTAINER

Latest

9 Dec 2018

Rais wa Nigeria Buhari Ampongeza Mmiliki wa Jamii Forums Maxence Melo


Rais wa Nigeria, Mohammed Buhari ametangaza kuutambua mchango wa Maxence Melo kutoka Tanzania kwa juhudi zake kusimamia kwa umadhubuti utekelezaji wa sera ya ulinzi wa watoa taarifa barani Afrika

Akiwa katika mkutano wa kongamano la Vijana wa Afrika dhidi ya Rushwa lilofanyika Abuja, Rais Buhari amesema kuwa Maxence Melo kupitia JamiiForums amekuza uhuru wa kufichua maovu na kujieleza na amemtaja kama mmoja wa vijana wanaojenga Afrika tunayoitaka

Ameongeza kuwa ni shujaa asiyetajwa