Taarifa Mbaya: Joto Kuongezeka Kwa Wastani wa Nyuzi 34 - MULO ENTERTAINER

Latest

9 Dec 2018

Taarifa Mbaya: Joto Kuongezeka Kwa Wastani wa Nyuzi 34


Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imeeleza kuwa hali hiyo inatokana na jua kuwa la utosi na mvua za vuli kuwa hafifu

TMA imeeleza kuwa joto hili litadumu mpaka kufika mwezi Januari mwakani

Aidha, Meneja wa kituo kikuu cha Utabiri, Samweli Mbuya amefafanua kuwa kuongezeka kwa joto ni mwenendo wa mifumo ya hali ya hewa kusini mwa mstari wa Ikweta