Wasafi Festival 2019 kuanzia Arusha - MULO ENTERTAINER

Latest

25 Jan 2019

Wasafi Festival 2019 kuanzia Arusha

Meneja kutokea WCB, Sallam SK ameeleza kuwa tamasha la Wasafi Festival kwa mwaka huu litaanzia mkoani Arusha.

Akizungumza na Wasafi TV amesema kuwa wamelazimia kutangaza kuwa wataanzia mkoani humo kutokana na maombi kuwa mengi na hasa wadhamini wao.

"Wasafi festival kwa mwaka 2019 tunatangaza mkoa wa kwanza kabisa utakuwa Arusha," ameeleza Sallam SK.

Pia aligusia hatua ya Diamond kusaini mkataba mwingine na kampuni ya Pepsi, 'Inaonyesha ni jinsi
kampuni na mashabiki wanafurahi kile ambayo anafanya Diamond, tunahitaji kampuni zijitokeze
kwa wingi