Stori ya Kusikitisha ya Mwanamuziki Rah P Baada ya Kuwa Mapenzini na Mwanamume Muuza Madawa ya Kulevya - MULO ENTERTAINER

Latest

17 Feb 2019

Stori ya Kusikitisha ya Mwanamuziki Rah P Baada ya Kuwa Mapenzini na Mwanamume Muuza Madawa ya Kulevya


Stori ya Kusikitisha ya Mwanamuziki Rah P Baada ya Kuwa Mapenzini na Mwanamume Muuza Madawa ya Kulevya
Raha P
Ni stori ambayo aliitoa kipindi cha nyumba kidogo lakini leo nimeona niwaletee na ninyi mtazame akielezea kilichomkuta na mpaka kupotea kabisa katika anga za muziki wa Bongo Flava.....Its so touching yaai i cant watch this twice. she is a good woman, really strong african woman i like her style, naona rap style yake imebadilika. i like the song Ushaurinwa bure, I think she can do wonders akifanya talk show. there are so many women going through such paths, imagine hearing these stories from Tanzanian women....

Tazama Video Hapa: