Ben Paul arudi kwa spidi mpya sikilizan Audio yake ya Sophia.. - MULO ENTERTAINER

Latest

16 Jan 2015

Ben Paul arudi kwa spidi mpya sikilizan Audio yake ya Sophia..

Baada ya Kukaa Muda Mrefu Bila Kutoa Wimbo Mpya Udaku Specially Inakupa nafasi ya kusikiliza Wimbo Mpya wa kutoka kwa Mwanamuziki Ben Pol Kipenzi cha Mabinti Unaitwa Sophia , Umetengenezwa na kufanyiwa mixing na Producer Swaki ...