Diamond na Zari Ni Kama Kanye West na Kim Kardashian, Ushahidi Huu Hapa, Kama Unabisha Meza wembe - MULO ENTERTAINER

Latest

20 Jan 2015

Diamond na Zari Ni Kama Kanye West na Kim Kardashian, Ushahidi Huu Hapa, Kama Unabisha Meza wembe

Ki ukweli Jamani Zari ni Mzuri wa sura , yeye kama yeye ni kifaa cha aina yake kubali ukatae, kwenye hiyo picha hapo juu embu ona alivyofanana na Kim Kardashian , yaani ni Diamond na Zari Ni Kama Kanye West na Kim Kardashian jinsi wanavyopendeza....

Toto Bikra...Kishkwambi Flani hiviii