Picha>> Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Shilole nao Wapokea Zawadi Kutoka Coca Cola - MULO ENTERTAINER

Latest

13 Jan 2015

Picha>> Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Shilole nao Wapokea Zawadi Kutoka Coca Cola


Picha: Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Shilole nao Wapokea Zawadi Kutoka Coca Cola
  • Picha: Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Shilole nao Wapokea Zawadi Kutoka Coca Cola 1
  • Picha: Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Shilole nao Wapokea Zawadi Kutoka Coca Cola 2
 
Hizi ni zawadi za vinywaji vya Coke vyenye majina ya watu mashughuri wa hapa bongo kutoka kampuni ya coca-cola .Leo hii waigizaji, Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Shilole  nao waepokea zawadi  za vinywaji  hivyo vya coke baada ya kutembelewe na  wawakilishi kutoka  kampuni hiyo ambapo majina ya wasanii  hao yakiwa yameandika kwenye makopo ya  vinywaji hivyo.
Jionee picha zao hapo juu
12.01.2015 -  Tags:  WEMA  AUNTEZEKIEL  SHILOLE