Udaku Special Blog: Mrembo na mwigizaji wa filamu, Miriamu Jolwa ‘Jini Kabula’ ambae hivi karibuni aliripotiwa kuachana na mkali wa Bongo Fleva, Ruta Maxmilian Bushoke ambae alikuwa mpenzi wake wa muda mrefu.
Hivi majuzi Jini Kabula alitupia picha mtandaoni, akiwa na jamaa katika pozi la kimahaba huku macho yake ameyalegeza kama inavyo onekana hapo juu, na kuandika maneno ya kumtambulisha huyo jamaa kuwa ndie mpenzi wake.
“With my beiby...morning TANZANIA...” Kabula aliandika.
Mashabiki wake walimpongeza kwa kuweza kumpata mwenza na kutaka PROJECTII iendelee.
5 Feb 2015
New