Kivazi cha Lulu Instagram chazua Balaa - MULO ENTERTAINER

Latest

5 Feb 2015

Kivazi cha Lulu Instagram chazua Balaa



Kivazi  alichotupia juu staa wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael 'Lulu' kimewaacha hoi baadhi ya mashabiki wake Instagram.
 
 Mrembo huyo mwenye mvuto wa pekee alitupia picha hiyo jana katika akaunti yake ya Instagram ambapo  alitupia na maneno ya kizushi akisema: 'Lego get em...... nikuridhishe kwani we unaniridhisha!???? Am soleeeee!' aliandika Lulu.
 


Baadhi ya mashabiki wake walihoji kulikoni baada ya kuona dizaini kama tumbo limeongezaeka wakiuliza kama ana mimba au la japo wengi wao wamemsifia mrembo huyo kwa katokelezea.