Drake aja na ‘Suprise’ yake ya album kama Beyonce! - MULO ENTERTAINER

Latest

14 Feb 2015

Drake aja na ‘Suprise’ yake ya album kama Beyonce!

Mkali wa tuzo za Grammy Drake ameamua kuiga style ya Beyonce ya bila kutangaza kutoa albamu kwa kuachia albamu yake mpya yenye nyimbo 17 kwa kuwashtukiza mashabiki wake.
Drake alitoa albamu yake hiyo inayoitwa ‘If You’re Reading This It’s Too Late’ jana Alhamisi kwa kuipost kwenye Twitter ambayo amewashirikisha mastaa mbalimbali kamaLily Wyne, Travi$ Scott na PartyNextDoor,Drake ameendelea kufanya vizuri ambapo katika albamu yake iliyopita ya ‘Nothing Was the Same’ aliweza kufanya vizuri na kushika nafasi ya kwanza katika billboard mwaka 2013 na kufanikiwa kuuza kopi 658,000 katika wiki ya kwanza tu.