Breaking News..!! Lowassaa Akamatwa na Polisi Akiwa Mkutanoni,Kisa Ni Kusema Nchi Ina Njaa..!!! - MULO ENTERTAINER

Latest

16 Jan 2017

Breaking News..!! Lowassaa Akamatwa na Polisi Akiwa Mkutanoni,Kisa Ni Kusema Nchi Ina Njaa..!!!


Waziri Mkuu mstaafu na aliyekuwa mgombea urais kwa CHADEMA Mh. Edward Lowassa na mbunge wa Geita (M) Viti maalum Upendo Peneza wamekamatwa Geita mjini. Kwa sasa wako kituo cha polisi...


Kosa ni Mh. Lowassa na Upendo kusalimiana na wananchi wakiwa njiani kuelekea katika kampeni kata ya Nkome, Geita vijijini
 
Ikumbukwe Ni siku ya Ijumaa Mh. Peneza alikamatwa na kuachiwa kwa dhamana, kwa kosa la kusema kuna njaa nchini, hivyo serikali ichukue hatua za haraka kusaudia wananchi. Leo kakamatwa tena. Na pia, siku hiyo hiyo Mh. Mnyika, Katambi na wengine 3 walikamatwa hapo hapo Geita Mjini
 
Taarifa zaidi zitaendelea kuja......