Emmanuel Mbasha: Flora ndiye anayejua ukweli baba wa mtoto aliyejifungua - MULO ENTERTAINER

Latest

13 Feb 2015

Emmanuel Mbasha: Flora ndiye anayejua ukweli baba wa mtoto aliyejifungua

Akihojiwa na gazeti la Mtanzania baada ya kuahirishwa kwa kesi yake ya ubakaji inayomkabili, amedai kuwa Flora ndiye anayejua ukweli wa nani baba wa mtoto aliyejifungua hivi karibuni.

Ameongea hivyo baada ya kuulizwa na waandishi wa habari kutokana na kusambazwa kwa picha ya mtoto ikimhusisha kufanana na mchungaji wa kanisa la ufufuo na uzima ndugu Gwajima.

My take: Ukiona mume anasema mke ndiye anayejua ukweli wa nani baba wa mtoto ujue pana walakini juu ya mapenzi yao, anajua alikuwa anachapiwa.