Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Mbeya, Ulrich Matei amesema wana washikilia watu wanne kwa tuhuma za kukutwa na bastola moja yenye risasi 15 na mfuko wa manila uliokuwa na nyuki katika eneo la uchaguzi wilayani Kyela.
RPC Matei amesema tukio hilo lilijitokeza na watu hao walikuwa kwenye gari aina pickUP ambapo baadhi yao walikimbia na kuwakamata wengine wanne.
“Watu hawa tuliwapekua na kuwahoji ambapo walisema wanafanya kazi za kulinda kura kwenye uchaguzi unaoendelea katika Kata ya Nkuyu wilayani Kyela” RPC Mbeya