Hussein Machozi Anaswa na Mchepuko wa Kidhungu, ni Baada ya Kumtelekeza Mke Wake wa Kimombasa - MULO ENTERTAINER

Latest

6 Feb 2015

Hussein Machozi Anaswa na Mchepuko wa Kidhungu, ni Baada ya Kumtelekeza Mke Wake wa Kimombasa

 Kama ulikuwa unajiuliza Hussen Machozi Yupo wapi baada ya kupotea kwenye Ramani ya Muziki basi leo utapata jibu hapa.
Hivi Karibuni Mwanamke mmoja wa Kimombasa alisikika kwenye vyombo vya Habari na kusema walifunga ndoa na Hussein machozi kwa Siri na baada ya ndoa Hussein Machozi Akamtelekeza ..Sasa habari mpya ni kuwa Hussein Machozi Ametulia kimapenzi kwa Mzungu kwa sasa na Ameshikiliwa Kinoma kiasi cha kwamba afurukuti kwa mzungu huyo..na labda ndio sababu ya kimya chake katika Muziki..
Mpe ushauri ndugu yetu......