KAJALA: SASA NAHITAJI MDOGO WA PAULA ATAKAYEMFATA.... - MULO ENTERTAINER

Latest

13 Feb 2015

KAJALA: SASA NAHITAJI MDOGO WA PAULA ATAKAYEMFATA....

Kajala Masanja akiwa na mwanaye Paula.
Akizungumzia mipango yake kwa sasa hasa kwenye suala la kuongeza mtoto, Kajala alisema umri unazidi kuyoyoma na Paula anazidi kuwa mkubwa hivyo ni vyema akamtafutia mdogo wake fasta kabla ya kuamua kutulia.
“Kwa kweli nahitaji kumpata mdogo wake Paula haraka, umri unazidi kusonga mbele, siyo nakuja kuzaa tena Paula kishakuwa mdada mkubwa, itakuwa aibu,” alisema Kajala.