Kama Ulikuwa Hujui Uzuri wa Lulu Michael Umetokea Kwa Huyu Mwanaume, Lulu Amwita Handsome - MULO ENTERTAINER

Latest

13 Feb 2015

Kama Ulikuwa Hujui Uzuri wa Lulu Michael Umetokea Kwa Huyu Mwanaume, Lulu Amwita Handsome

Leo ikiwa ni siku ya kutupa nyuma,Throwback ambapo watu hubandika picha zao za zamani kwenye mitandao ya kijamii ususani INSTAGRAM, mrembo na mwigizaji wa filamu anaewavutia wengi kwa uzuri na kipaji chake, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amebandika picha akiwa amebebwa 
na Baba yake ‘Mzee Michael’ kipindi akiwa mtoto na kuiandikia maneno kuwa yupo na baba yake mtanashati ambae amezaa chema na kujinasibu kuwa wanafanana.

"Enjoy na Throwback, Sina cha maana wala Jipya la ku post..! My handsome daddy & I....!Mzee Michael, Mzaa Chema, My Twinnie"

Asante sana Lulu kwa kushea nasi picha hii, tume-enjoy, hakika hii ni ThrowBack nzuri zaidi ya leo, kweli huyu ni pacha wako.