Mashabiki wa Wema Sepetu Wapanic Mara Baada ya Diamond Kupost Picha Kuchaguliwa Jinsia ya Mtoto Atakaye zaliwa na Zari. - MULO ENTERTAINER

Latest

8 Feb 2015

Mashabiki wa Wema Sepetu Wapanic Mara Baada ya Diamond Kupost Picha Kuchaguliwa Jinsia ya Mtoto Atakaye zaliwa na Zari.

 Baada ya diamond the platnumz kupost picha na kuwaambia mashabiki wamchagulie kama anataka mtoto wa kiume au wa kike, katika mtandao wa kijamii wa instagram ilioneka moja wa shabiki wa Wema huko insta analotumia jina la wemaselfie hakukubaliana na kitendo hicho na kuyaandika maneno ya fuatayo:



  'Yani sijawahi kuona.. mtuu anae pend attention kama blaza domo... dah... sumtz na wish wa tanzania wampoteze...! Juzi kati ulipo post hile pic ya Utrasound... "i cnt wait to meet u chibu junior" jana unapost... pic ya watoto wa 2 " which baby r u wishin us to have?"