Mwanamuziki Diamond Alipwa Millioni 50 Cash Kuwatumbuiza CCM Leo - MULO ENTERTAINER

Latest

1 Feb 2015

Mwanamuziki Diamond Alipwa Millioni 50 Cash Kuwatumbuiza CCM Leo

Chama cha mapinduzi CCM leo tarehe 1 Feb 2015 kinaadhimisha miaka 38 tangu kuanzishwa kwake mjini songea mkoani Ruvuma......



Kundi la TOT ambalo linamilikiwa na CCM litakuwepo mjini songea kutumbuiza na mwanamuziki Diamond Plutinumz amekubali kutumbuiza baada ya chama cha CCM kukubaliana naye kwa shingo upande kumlipa milioni hamsini (50 mil.) ili Diamond atumbuize kesho.