Staili Mpya ya Nywele Aliyoweka Zari Yazua Vimaneno Instagram Wengi Wadai Anamuiga Wema Sepetu - MULO ENTERTAINER

Latest

13 Feb 2015

Staili Mpya ya Nywele Aliyoweka Zari Yazua Vimaneno Instagram Wengi Wadai Anamuiga Wema Sepetu

Udaku Special Blog
Baada ya Mrembo Zari The Lady Boss kuweka Picha Instagram akiwa na mtindo mpya wa nywele Team Wema Wameibuka na jambo na kusema Anamuiga boss wao Wema Sepetu ..Embu Soma Team Wema Walivyochachamaa..

malkia_wa_insta
Nasikia umemuona madame kashonea nn kapendeza ona sasa unachekwa nywele wamekubundka umekua Kama kibanda cha makuti
Kuiga IGA kubaya Leo tunakucheka ad wenye streess zetu pyeeeeee mama mkubwa tafuta fassion yako

dougiemasta16
zari zari bosslady banange hiv nyie watanzania mnamatatizo gani bibi kaenda zake saloon mwenye kashonea nywele zake vizur zimekaa utasema fagio la nyasi kapendeeza sijapata kuona...mnamcheka wakt mwenyewe kamuonesha mwenye saloon picha ya wema kamwambia anataka style kama hii....sasa nyie kwann mnamcheka...mm mnanikela kwel mala mumwambie nywele kama kofia la boda boda mala kama uyoga wengine mnamwambia kama ganda la chungwa kawakoseeni nini lakin haahhahahah mbona wakorofi nyie watanzania leo nitakuja na bakora nitawachapa mmoja badala ya mwengine haswa wewe @wemaselfies na @shoga_akeeeeee nyie sinimewaambia muwe na adabu kwa bibi yenu eeh kwann hamsikii au mpaka awaachie radhi shauri yenu mtablockiwa ahhajajaahha shauri yenu mwacheni UN summit kasuka amuoneshe baby sasa mpunguze wivu wenu wabongo mnamuonea wivu bibi matende mwenyewe anataka kushindana nanyie aonekane kijana nyie mnamcheka afuu nyie vitoto vya form 1 kwann hamna adabu kwanza shule inagunguliwa lini muondoke tushawachoka ahahhahaha mwacheni mama wa watoto 5

dorahmugendi
Hahahahaaaa rafik.yng nimecheka sana mpaka nimepunguza stress...hii style hapana hata bure sishoni muachie bibi tu....@hunphakarigo

wemasepetu.ommydimpoz
Hhihiiihiii zaituni buanaaa nini sasa icho alichoek kumkichwa heheheheheeh jaman hhh kma ganda la chungwa yan khaaa wemq kapendeza hatar mweee zaitun sjui tuite makuti style


Je Wewe unaionaje Hiyo Staili?