Wema Sepetu Apata Deal la Ubalozi wa Hospitali ya Kimataifa - MULO ENTERTAINER

Latest

28 Apr 2015

Wema Sepetu Apata Deal la Ubalozi wa Hospitali ya Kimataifa

Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa filamu, Wema Sepetu ameteuliwa kuwa balozi wa hospitali ya kimataifa ya macho.

Taarifa hiyo imetolewa na meneja wake, Martin Kadinda kwenye Instagram:

Mrembo wa Tanzania, muigizaji na mjasiriamali Wema Sepetu, Amesign makubaliano ya kuwa Balozi wa Hospital Ya Kimataifa Ya macho Iliyopo Ali hassan mwinyi Road katika jengo la Tropical House…..#mkataba huu wa ni wa mwaka mmoja.. Wema amehaidi kuwa balozi wa hospitali hiyo iliyokuja na mitambo mpya ambayo itawezesha vijana wenye umri chini ya miaka 35 wanaotumia miwani kuacha kabisa utumiaji wa miwani kwakuwa wanauwezo wa kuondoa swala la uvaaji miwani kwa vijana..