ALI KIBA Awaonyesha Mashabiki wake Picha za video yake Mpya (Picha) - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Jun 2015

ALI KIBA Awaonyesha Mashabiki wake Picha za video yake Mpya (Picha)

Alikiba anatarajia kuwapa mashabiki wake zawadi waliyoisubiri kwa muda mrefu – video.
Muimbaji huyo ameshoot video nchini Afrika Kusini na muongozaji Meji Alabi.

Kupitia ukurasa wa Facebook, Alikiba amepost na utengenezaji wa video hiyo na kuandika:

  •  Music video shoot in South Africa at 3 degrees celsius… We keep rolling!
Muongozaji Meji Alabi akiwa kazini Hivi karibuni mashabiki wa Alikiba walilalamika kuchelewa kwenye video ya Chekecha na kudai kuwa anawaangusha
Alikiba akiwa na Meji Alabi