TETESI za Kutoweka Kwa Jack Cliff Gerezani Huko China..Serekali yapaswa Kulitolea Ufafanuzi Hii Habari - MULO ENTERTAINER

Latest

7 Jun 2015

TETESI za Kutoweka Kwa Jack Cliff Gerezani Huko China..Serekali yapaswa Kulitolea Ufafanuzi Hii Habari

Jana Katika Mitandao Mbali mbali zimeenea taarifa ambazo bado hazijafahamika kama ni za kweli ama la kuwa Mtanzania Mwenzetu Jack Cliff Aliyekamatwa kwa Madawa ya kulevya Nchini China ametoweka Gerezani na kupelekwa kusikojulikana....

Habari inayozunguka mitandaoni ni hii hapa:


  • Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya China vimeriport kuwa Mtanzania aliekuwa anazuiliwa katika gereza moja huko China ametoweka na kuperekwa kusikojulikana. Habari zinasema mtanzania huyo alikuwa anasubiri hukumu ya kifo kufuatia kukamatwa na madawa kulevya.


Tunaomba serikali itolee ufafanuzi Habari hii au kama kashatekelezewa hukumu yake, pia tujue! Lazima government yetu ithamini raia wake hata kama wana makosa