Abiria Mmoja Ndani ya Daladala Jijini Dar, Ameshambulia Abiria Wengine kwa Kisu Bila Sababu Yoyote..Wananchi Wamuua - MULO ENTERTAINER

Latest

24 Jul 2015

Abiria Mmoja Ndani ya Daladala Jijini Dar, Ameshambulia Abiria Wengine kwa Kisu Bila Sababu Yoyote..Wananchi Wamuua

Mtu mmoja aliyekuwa abiria ndani ya daladala lililokuwa likitoka mjini kuelekea Makumbusho amewashambulia kwa kisu abiria kadhaa ndani ya gari maeneo ya Magomeni na kuwasababishia majeraha makubwa, majeruhi wote wamekimbizwa Mwananyamala. Mshambuliaji huyo ameuawa na wananchi wenye hasira. Hadi sasa haijafahamika nini lililkuwa lengo la mshambuliaji huyo.