Wakenya Nao Wanadeki na Kusafisha Barabara Ujio wa Obama - MULO ENTERTAINER

Latest

26 Jul 2015

Wakenya Nao Wanadeki na Kusafisha Barabara Ujio wa Obama

Nimeona kwenye taarifa zao za Habari Barabara zinadekiwa, vibanda vinaondolewa omba omba wa mitaani nao marufuku kuonekani Mjini.

Nilidhani ni Sisi.

Ila jamaa zetu wanamuabudu sana Obama, rejea wanavyomzungumzia Ujio wake.