Bagamoyo Road Haipiti Kuanzia Bunju A, Baada Ya Ajali iliyoua Mtoto wa Shule..Wanafunzi Walala Barabarani - MULO ENTERTAINER

Latest

10 Jul 2015

Bagamoyo Road Haipiti Kuanzia Bunju A, Baada Ya Ajali iliyoua Mtoto wa Shule..Wanafunzi Walala Barabarani

Kama ulikua na ratiba ya kwenda bagamoyo acha kabisa.

Watoto wa shule ya msingi wamelala barabarani baada ya mwenzao mmoja kugongwa na gari na inasemekana amefariki dunia, hvyo kuanzia Bunju A Bunju B kuendelea ni balaa hata baiskeli hakuna wameshika mifagio na magongo na raia wako makini kuangalia kinacho endea.

Stay tuned for all update.