Hivi Ndivyo Wanawake wa Mjini Wanavyoendesha Wanaume Hapa Mjini...Pesa Pesa Pesa - MULO ENTERTAINER

Latest

20 Jul 2015

Hivi Ndivyo Wanawake wa Mjini Wanavyoendesha Wanaume Hapa Mjini...Pesa Pesa Pesa

Hivi Ndivyo Wanawake wa Mjini Wanavyoendesha Wanaume Hapa Mjini...Pesa Pesa Pesa...Soma Hizo Baadhi ya Message Hapo chini : Bila Pesa Mjini hapa wewe Mwanaume si Kitu...Ukibahatika Kusoma Meseji kwenye Inbox ya Simu ya Mkaka wa Mjini Inbox nzima imejaa Meseji za Mizinga kutoka kwa Wadada wa Mujini...Uongo Kweli ?